MAHER ZAIN, MUIMBAJI WA NASHEED.
Maher Zain
Maher Zain | |
---|---|
![]() | |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | 16 Julai 1981 Tripoli, Lebanoni |
Aina ya muziki | Nasheed, pop |
Kazi yake | Mwimbaji, Mtunzi |
Ala | Sauti, Piano, Gitaa, Keyboards |
Miaka ya kazi | 2009– |
Studio | Awakening Records |
Tovuti | https://www.facebook.com/MaherZain |
Maher Zain (Kiarabu: ماهر زين ; amezaliwa tar. 16 Julai, 1981[1] mjini Tripoli, Lebanon) ni mwimbaji wa Kiislamu-R&B kutoka nchini Uswidi/. Pia ni mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki vilevile. Asili yake ni Lebanoni. Alitoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Thank You Allah, albamu iliyotamba kimataifa na yenye mafanikio na vilevile ina athira ya dini ya Kiislamu, mnamo 2009. Akatoa albamu yake ya pili Forgive Me mnamo tar. 2 Aprili, 2012.
Hakuna maoni